LIVE: ITAZAME MECHI YA TANZANIA 🆚 MOROCCO ROBO FAINALI LIVE HAPA


 Leo Ijumaa, Agosti 22, macho na masikio ya Watanzania yatakuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa, ambapo Taifa Stars watakabiliana na Morocco katika robo fainali ya CHAN 2024. Ni zaidi ya mechi ya mpira, ni kipimo cha hadhi ya soka la Tanzania barani Afrika.

Taifa Stars waliweka msingi mzuri hatua ya makundi. Walikusanya pointi 10, wakifunga mabao matano na kuruhusu moja pekee. Safu ya ulinzi imeonekana imara, huku nidhamu ikiwatambulisha kama moja ya timu zilizosalia safi, hakuna kadi nyekundu.

Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA au HAPA kudownload app kumbuka app bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama Apk ikileta neno harmful usiogope.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post