LIVE: ITAZAME MECHI YA RAYON SPORT 🆚 YANGA LIVE HAPA

 


 Burudani inarejea! Ndivyo unavyoweza kusema Ijumaa hii katika dimba la Amahoro kule Rwanda Yanga itakapomenyana na Rayon Sports

Ni katika mchezo wa kuadhimisha Rayon Day, tamasha la kukaribisha msimu kwa klabu hiyo

Yanga imeondoka nchini leo Jumatano kuelekea Rwanda tayari kwa mchezo huo

Kwa mara ya kwanza, nyota wapya walioongezwa katika kikosi cha Yanga watashuhudiwa pale Rwanda


Usikose kuitazama mechi hii pamoja na  michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app pia ikileta neno its harmful usiogop hii ni kwasababu app bado hatujaiweka playstore ni Apk

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post