Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure
Ijumaa ijayo August 15 Yanga itakuwa Rwanda kushiriki Tamasha la Rayon Sports Day, mabingwa hao wa Tanzania Bara wakialikwa na wenyeji wao
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amewaalika Wanachama na Mashabiki katika safari ya kuelekea Rwanda
Yanga inatarajiwa kuondoka na msafara wa mashabiki kama walivyofanya misimu miwili iliyopita walipokwenda kucheza dhidi ya Al Merrikh mchezo wa kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi CAF CL
Mechi dhidi ya Rayon itakuwa kipimo cha kwanza cha kikosi cha kocha Romain Folz kuelekea msimu mpya wa mashindano 2025/26 ambao Yanga imepania kuendeleza ubabe wake katika soka la ndani na kufanya nyema zaidi katika michuano ya ligi ya mabingwa kwa watakao baki tanzania usikose kuitazama mechi hii live bure kupitia simu yako download App yetu mapema link ziko chini na hapo juu.
Pia leo zipo mechi nyingi za ulaya usikose kuzitazama zote ndani ya App yetu
👉🏻● Liverpool vs Crystal palace
👉🏻● Chelsea vs Ac millan
👉🏻● Kenya vs Morocco
👉🏻● Dortmund vs Juventus
👉🏻● Zambia vs Angola
👉🏻● Barcelona vs Como
👉🏻● Kenya vs Morocco
👉🏻● Dortmund vs Juventus
👉🏻● Zambia vs Angola
👉🏻● Barcelona vs Como
👉🏻● Villareal vs Aston Villa
👉🏻● Almeria vs Al nassr
Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app

Post a Comment