Nilikuwa nimekaa kanisani nikisubiri mpenzi wangu aingie kwa hatua zile tulizokuwa tumepanga kwa miezi mingi. Siku hiyo ilikuwa ya furaha, kila kitu kilionekana kwenda vizuri mapambo ya maua, harufu nzuri ya manukato, na nyuso zenye tabasamu. Nilikuwa na hakika hii ndiyo siku ambayo ingetufungulia mlango wa maisha mapya.
Lakini dakika chache kabla ya kuanza sherehe, nilimuona mtu mmoja akipaki gari jeupe karibu na lango la kanisa.
Niliinama kidogo kutazama vizuri na moyo wangu ukaruka. Nilimtambua mara moja alionekana yuleyule, bila shaka. Huyo alikuwa ndiye dereva wa gari lililonigonga miaka 15 iliyopita, ajali ambayo ilinipotezea miezi mingi hospitalini na kuniacha na makovu yasiyoonekana kwa macho. Soma zaidi hapa

Post a Comment