Jinsi nilivyomfunza adabu mume wangu mchepukaji

 

Ilikuwa ni usiku wa Jumamosi, saa nane usiku, kila mtu mtaani kwetu alikuwa amelala isipokuwa mimi. Nilikuwa nimepanga kumfuatilia mume wangu baada ya tabia zake za siku za hivi karibuni kunishtua. 

Alikuwa anarudi nyumbani akiwa amechoka kupita kiasi, harufu ya manukato tofauti na yangu ikiwa imemganda, na simu yake sasa alikuwa anaiweka silent mode muda wote. Nilijua lazima kuna jambo analoficha.

Nilipomwangalia kitandani akijifanya amelala, niliona jinsi alivyojigeuza mara kadhaa kana kwamba anasubiri kitu. Nilikaa chonjo, nikijifanya nimelala pia. Dakika chache baadaye, simu yake ilivuma taratibu chini ya mto. Akaamka kimya kimya, akachukua simu, kisha akaingia bafuni.

Nilimfuata taratibu bila viatu. Niliposogea mlangoni, nilisikia akizungumza kwa sauti ya chini akimwambia mtu, “Nitakuja sasa, mpenzi wangu, amesha lala fofofo.” Moyo wangu ulipiga kama ngoma ya vita. Soma zaidi hapa 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post