Siku hiyo ilikuwa ya furaha tele, wageni walikuwa wameketi kwa mpangilio, mapambo yakimetameta na muziki wa taratibu ukicheza taustarini. Kila mtu alisubiri kwa hamu kuona jinsi bibi harusi atakavyoingia, amevaa gauni jeupe la kifahari, akitembea kwa aibu kuelekea madhabahuni. Lakini hakuna aliyejua kwamba sherehe hii ingetawaliwa na mshangao mkubwa ambao ungeacha kila mmoja akibaki mdomo wazi.
Bibi harusi alipoanza kutembea kuelekea sehemu alipokuwa bwana harusi akisubiri, uso wake ulionyesha mchanganyiko wa furaha na wasiwasi mdogo. Alipofika hatua chache kabla ya madhabahu, ghafla macho yake yakagongana na mtu aliyekaa kwenye kiti cha heshima karibu na bwana harusi.
Ilikuwa ni sura ambayo hakutarajia kabisa kuiona siku hiyo shemeji yake, kaka wa bwana harusi, ambaye alikuwa na historia tata naye. Soma zaidi hapa

Post a Comment