Asubuhi ya Jumapili katika mtaa wa Majengo, Mwanza, shughuli zilisimama ghafla baada ya wana mtaa kushuhudia tukio lisilo la kawaida. Jamaa mmoja anayejulikana kwa jina la Ben alikutwa mchana kutwa akiwa uchi wa mnyama, akipiga magoti mbele ya nyumba ya mpenzi wake wa zamani, akilia na kuomba msamaha kwa sauti ya kuumiza moyo.
Ben, ambaye zamani alijulikana kwa kujiamini kupita kiasi, aliwahi kuwa katika mahusiano ya muda mrefu na dada mmoja aitwaye Maria, msichana mpole aliyekuwa akimpenda kwa dhati.
Hata hivyo, miezi sita iliyopita, Ben alimuacha Maria ghafla na kuhamia kwa mwanamke mwingine ambaye alidai ni “level yake” kimaisha. Alimuacha Maria akiwa na machungu, aibu na sintofahamu, hasa kwa vile walikuwa tayari wamepanga ndoa. Soma zaidi hapa

Post a Comment