Hali ya taharuki ilitanda ndani ya chumba cha kujifungulia katika Hospitali ya moja hapo nchi jirani usiku wa kuamkia Jumapili, Agosti 10, 2025, baada ya mama kijana kujifungua mtoto mwenye mwonekano usio wa kawaida.
Mashuhuda, wakiwemo wauguzi na madaktari, walieleza kuwa mtoto huyo alizaliwa akiwa na nywele nyeupe mithili ya pamba na macho yaliyokuwa yakimetameta giza lilipoingia.
“Tulidhani taa za dharura zimepiga kelele za ajabu, kumbe macho ya mtoto yalikuwa yanaangaza. Kila mtu alibaki kimya kwa dakika kadhaa,” alisema muuguzi mmoja aliyeshuhudia tukio hilo.
Mama huyo, ambaye jina lake limehifadhiwa, alipelekwa hospitali baada ya kuanza uchungu ghafla akiwa nyumbani kwake Kimara. Wajumbe wa familia walisema kuwa ujauzito wake ulikuwa wa kawaida, lakini wiki tatu kabla ya kujifungua alianza kupata ndoto za ajabu: akiona mtu akimpa zawadi ya kitambaa cheupe na kuambiwa “mtoto wako atakuwa tofauti.” Soma zaidi hapa

Post a Comment