Edmund John kuchukua nafasi ya Mzize Yanga


 Klabu ya Yanga inatajwa kukamilisha usajili wa winga Edmund John kutoka klabu ya Singida Black Stars

Edmund amejumuishwa katika kikosi cha Yanga kilichosafiri kuelekea Rwanda kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Rayon Sports utakaopigwa kesho Ijumaa

Nyota huyo anachukua nafasi ya Clement Mzize ambaye ataondoka baada kukamilika kwa michuano ya CHAN 2024 mwishoni mwa mwezi huu

Klabu ya Esperance ya Tunisia inatajwa kuwa katika hatua za mwisho kukamilisha uhamisho wa Mzize

Edmund ni kiungo mshambuliaji ambaye anaweza kutumika kama winga wa upande wa kulia au kushoto

Usikose kuitazama mechi ya RAYON SPORT VS YANGA IJUMAA HII pia michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app ikileta neno its harmful usiogop ni kwasababu bado hatujaiweka playstore ni APK

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post