Binti Aliyeishi Mitaani Leo Anaendesha Gari Aina ya Range Rover

 


Jina lake ni Mercy. Kwa sasa ni mfanyabiashara kijana anayeendesha gari la kifahari aina ya Range Rover mitaa ya Nairobi, lakini nyuma ya mafanikio hayo kuna simulizi ya mateso na machozi.

Alipokuwa na umri wa miaka kumi na tano, maisha yake yalibadilika ghafla baada ya kupoteza wazazi wote wawili kwenye ajali ya barabarani. Bila msaada wa familia, aliishia mitaani.

Usiku wake mwingi aliutumia kulala kwenye vibanda vya carton, mara nyingine akipitia njaa kali. Ili kuishi, alisafisha viatu vya watu mjini na kutegemea shilingi chache zilizotokana na hiyo kazi ndogo ndogo. Soma zaidi hapa 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post