Baba Aliyekuwa Tasa Apata Nguvu za Kiume Zimerudi

 

Julius alikuwa mwanaume mwenye familia ndogo mjini Nakuru. Kwa muda mrefu aliishi kwa huzuni ya ndani ambayo hakuwahi kuieleza hadharani. Tatizo lake lilikuwa moja—nguvu za kiume zilimwishia taratibu, na ndoa yake ilikuwa katika hali ya kuyumba.

Mwanzoni alidhani ni uchovu wa kawaida kutokana na kazi yake ya ujenzi. Lakini kadri miezi ilivyopita, hali ikawa mbaya zaidi. Mke wake alianza kulalamika, na mara nyingi waligombana. Julius akajikuta akijitenga na marafiki na hata familia kwa sababu ya aibu.

Alijaribu hospitali kadhaa. Vipimo vilifanywa, dawa zikaandikwa, lakini hakuna kilichobadilika. Mara nyingi alihisi labda alilaaniwa. Kila siku alikuwa akiishi kwa hofu kwamba mke wake angeondoka na kumuacha peke yake.

Miaka mitatu ilipita na tatizo likawa limegeuka mzigo mkubwa kisaikolojia. Julius alihisi hana thamani tena kama mwanaume. Alikosa raha kazini, akapoteza ujasiri wake, na hata watoto wake waliona amekuwa mkali kupita kiasi. Soma zaidi hapa 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post