Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure
Idownload kwa kubonyeza HAPA au HAPA sisi kwetu michezo ni Furaha
Klabu ya Yanga imemtangaza Paul Matthews kuwa Mkurugenzi wa ufundi akichukua nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Abdihamid Moallin
Matthews alikuwa Mkurugenzi wa ufundi katika klabu ya SuperSport United, alijiuzulu nafasi yake baada ya timu hiyo kuuzwa na sasa ikifahamika kama Siwelele Fc
Jina la Matthews sio geni katika soka la Afrika Kusini kwani amehusika katika kuvumbua wachezaji wengi ambao wametamba katika ligi kuu ya Afrika Kusini
Matthews anamiliki leseni ya UEFA B, akiwa pia amewahi kufanya kazi na AmaTuks, Jomo Cosmos, na Tembisa Classic.
Sasa ametua Yanga kufanya kazi na Kocha Mkuu Romain Folz na benchi lake la ufundi, kutimiza ndoto ya Yanga kuwa klabu namba 1 barani Afrika
Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app

Post a Comment