YANGA WALIVYO WAZIMA SIMBA KWENYE USAJILI HUU

YANGA WALIVYO WAZIMA SIMBA KWENYE USAJILI HUU

Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure

Idownload kwa kbonyeza HAPA sisi kwetu michezo ni Furaha



  Inaelezwa kulikuwa na jitihada kubwa kutoka klabu ya Simba kusajili miongoni mwa nyota wa Yanga ili kuwatuliza mashabiki wao

Jaribio la kwanza lilifanyika kwa Mudathir Yahya ambapo msemaji wa Yanga Ali Kamwe alifichua jinsi alivyofuatwa nyumbani kwao Zanzibar ili kushawishiwa 

Hata hivyo haikuwezekana baada ya Mudathir kuamua kuongeza mkataba Yanga. Jitihada kama hizo pia zilifanyika kwa nyota wengine waliokuwa wamemaliza mikataba wakianza na Pacome Zouzoua, Maxi Nzengeli na hata Dickson Job

Lakini uongozi wa Yanga umekuwa imara kuhakikisha nyota wote muhimu wa kikosi cha kwanza ambao mikataba yao ilikuwa imemalizika wanabaki

Walianza na Mudathir, amefuata Pacome na bado taarifa za nyota wengine Maxi Nzengeli, Dicksoj Job na Duke Abuya ambao nao wameongeza mikataba

Itoshe kusema katika dirisha hili Simba wamekosa pa kujifariji kwani Yanga imezuia nyota wake wote muhimu lakini pia imefanikiwa 'kupita' na wachezaji waliokuwa karibu kutua Simba pamoja na kumng'oa nahodha wa Simba Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr'

Presha sasa iko upande wa Simba kumbakisha Elie Mpanzu ambaye inaelezwa Yanga imeweka ofa kubwa mezani kumsajili

Tayari Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe ameanza tambo kuwa kuna utambulisho mkubwa ambao unakwenda kuwavuruga zaidi

Usikose kuitazama mechi ya LIVERPOOL VS YOKOHAMA live bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuitazama mechi hii live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure Bonyeza hapa kudownload

Au

Bonyeza hapa pia kudownload App bure

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post