Utafanikiwa tu kikazi ndani muda mfupi ukifanya haya!

 

Ni mwaka wa nne sasa tangu nimehitimu masomo yangu ya Chuo Kikuu, nimetafuta kazi na kufanya interview nyingi sana bila mafanikio hali ambayo inaniumiza sana kutokana kuna wadogo zangu wananitegemea sana kwa sababu mimi ndiye kijana pekee katika familia yetu.

Pia mimi ndiye mtoto wa kwanza, hivyo hata wazazi wangu wenyewe wanategemea mengi kutoka kwangu na msaada kwa wadogo zangu ili waweze kufika nilipofika. Soma zaidi hapa. 


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post