Nilivyosota kusaka kazi ya Udaktari hadi nilipokuja kupata mwanga

 


Nilijitahidi mno kutia bidii katika masomo tangia nipo shule ya msingi ili niweze kujiunga na shule ya upili ya ndoto zangu ambayo ni mmoja wapo wa shule za kitaifa iliyopo Nairobi nchini Kenya.

Ndoto yangu ilikuwa kuwa daktari wa ubongo ambayo ndiyo taaluma niliyosomea Chuo Kikuu, nikiwa shule ya upili nilijitahidi hadi baada ya miaka minne nikahitimu na kupata alama nzuri zilizoniwezesha kusonga mbele. Soma zaidi hapa. 


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post