Duh! Wezi wachapa usingizi mbele ya biashara

 


Naitwa Musa, kuna wakati mmoja niliibiwa kwenye duka langu jambo ambalo lilinirudisha nyuma kwa kiwango kikubwa, hivyo ilinilazimu kufunga biashara yangu ghafla kwa kukosa fedha za kuendesha biashara ile.

Jambo hilo liliniuma sana na kwa kuwa sikuwa na uwezo wa kuwapata wahuni hao na kuwaadhibu, nilienda katika kituo cha polisi kuweza kuripoti kisa hicho ili kuwezeshwa kupatikana kwa bidhaa zangu zilizoibwa. Soma zaidi hapa. 


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post