Kila usiku saa nane kamili, nilikuwa nikishtuka ghafla kutoka usingizini. Sikujua ni nini hasa kilikuwa kinanitikisa, hadi nilipoanza kuona kivuli cha nyoka kikizama chini ya kitanda changu. Nilifikiri ni ndoto. Lakini mara ikarudi tena. Na tena.
Kwanza nilijaribu kujiaminisha kuwa ni mawazo tu au usingizi mzito. Lakini nilipoanza kuamka na jasho jingi, presha ikipanda ghafla, na miguu kuishiwa nguvu ndipo nikajua kuna jambo lisilo la kawaida linaendelea. Siku moja usiku niliamua kuwasha taa kwa ghafla baada ya kusikia mlio. Nilimuona nyoka mdogo mweusi, na kabla sijapiga kelele, ukatoweka kwa njia nisiyoielewa. Soma zaidi hapa.
Post a Comment