Mtu Alikuja Kununua Duka Langu Gharama Ya Juu Sana Baadaye Nikajua Alitaka Biashara Yangu Ife

 


Siku hiyo ilikuwa kama ndoto. Mteja mmoja aliyevaa vizuri na kuendesha gari la kifahari alikuja dukani kwangu ghafla. Alitembea ndani, akatazama bidhaa zangu, na ndani ya dakika chache akasema, “Ungependa kuuza duka hili? Naweza kulinunua leo, hela taslimu.” Nilishtuka.

Kusema kweli, sikuwa nimewahi kufikiria kuuza biashara yangu. Lilikuwa duka la vipodozi ambalo nililianza baada ya miaka ya kujikakamua. Nilijenga jina langu polepole na nilikuwa na wateja wa kudumu. Lakini yule jamaa alinipa bei ya kushangaza maradufu ya thamani halisi ya duka. Nilihisi kama bahati imeangukia mikononi mwangu. Soma zaidi hapa. 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post