Katika maeneo ya shule za bweni mkoani Mbeya, kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la Dullah alikuwa anajulikana kwa tabia ya kujitenga sana. Marafiki wake walisema alikuwa haogi pamoja nao, hata baada ya mechi au michezo.
Alionekana mwenye haya kupita kiasi, na wakati mwingine alitumia kila njia kuepuka shughuli za pamoja kama kuoga au kubadilisha nguo mbele ya wenzake. Hali hiyo ilimfanya kuwa mtu wa mwisho kuingia bweni na wa kwanza kutoka bafu.
Muda ulivyozidi kusonga, tabia hiyo ilianza kuzua minong’ono miongoni mwa wenzake. Wengine walidhani alikuwa na tatizo la kiafya au la kisaikolojia. Lakini Dullah hakuwahi kufungua kinywa kueleza. Alibeba aibu hiyo kimyakimya hadi alipomaliza shule na kuingia kwenye maisha ya utu uzima, akiwa bado na hofu ya kudharauliwa na wenzao kwenye vyumba vya mazoezi au hata kwenye safari za kitalii.
“Nilikua naona aibu hata kuzungumza kuhusu hili,” Dullah alianza kusimulia. “Uume wangu ulikuwa mdogo sana. Wakati mwingine hata nilijihisi kama sina kabisa. Hilo jambo lilinifanya nijichukie, nikose kujiamini, na hata kuepuka mahusiano ya kimapenzi.” Soma zaidi hapa

Post a Comment