Nilikuwa Mlevi wa Kupindukia Nililala Baa, Nikaamka Gerezan, Sasa Nimekuwa Mfanyabiashara wa Mafanikio

 

Nilikuwa mlevi sugu. Sina aibu kusema hivyo kwa sababu nimebadilika kabisa sasa. Kwa miaka mingi, pombe ilikuwa kila kitu kwangu. Nilikuwa naweza kuamka asubuhi na kupiga bia au konyagi kabla hata sijapiga mswaki. Marafiki walinipenda kwa sababu nilikuwa wa kujirusha, mwenye tabasamu, na mwenye kuwalipia pombe bila kujali.

Lakini nyuma ya tabasamu hilo kulikuwa na uchungu mkubwa. Familia yangu ilinichoka. Mke wangu aliondoka na watoto. Kazi yangu iliingia matatani mara kadhaa kwa sababu ya kulewa kazini. Nilianza kupoteza uzito, afya yangu ilidhoofika, na sikuwa tena mtu wa heshima mtaani.

Ninakumbuka siku moja nilianguka mtaroni nikielekea nyumbani. Sikuwa hata na viatu. Nilipopata fahamu asubuhi, nilijiona nikiwa kwenye sehemu ya mitaro karibu na soko. Nilitamani ardhi ifunguke inimeze. Hapo ndipo nilijua mambo hayawezi kuendelea hivyo. Soma zaidi hapa 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post