Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure
Idownload kwa kubonyeza HAPA au HAPA sisi kwetu michezo ni Furaha
Ni rasmi Klabu ya Simba imetambulisha usajili wa beki wa kati Rushine De Reuck kutoka klabu ya Mamelodi Sundowns
Rushine amejiunga na Simba baada ya kuvutiwa na project ya kocha Fadlu Davids.
Alikuwa akiitumikia Maccabi Petah Tikva ya Israel kwa mkopo akitokea Sundowns
Rushine ndiye mrithi wa Che Malone Fondoh ambaye ametimkia USM Alger
Usikose kuitazama mechi za michuano ya CHAN na LIGI KUU TANZANIA BARA, MECHI ZA ULAYA LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app

Post a Comment