Miaka miwili iliyopita nilikuwa najitahidi tu kuishi. Nilikuwa kibarua wa kubeba mizigo sokoni kazi za kuchafuka mikono, kulala njaa mara kwa mara, na kuamka mapema sana nikisaka riziki ambayo haikuwa na uhakika. Siku moja kuna kazi, kesho hakuna. Nilikuwa na ndoto kubwa sana, lakini sikuwa na mtaji, msaada wala mtu wa kuniinua.
Wakati wenzangu walikuwa wakijipanga na mipango ya maisha kununua pikipiki, kuanzisha biashara ndogo ndogo, hata kusomesha watoto wao mimi nilikuwa nikiishi kwa mkono wa mdomo. Ukipata kazi ya siku hiyo, unakula. Ukikosa, unalala na njaa.
Nilijaribu kuuza bidhaa ndogondogo kama pipi na maji, lakini hakuna biashara iliyodumu. Kila nilichoshika kilionekana kama hakina bahati. Ilifika wakati nikaanza kuamini labda mimi nimeandikiwa kuwa maskini. Kuna wakati hata nilijaribu mkopo wa SACCOS, lakini nikaambiwa sina dhamana. Nilihisi dunia imenigeuka.
Hapo ndipo rafiki yangu mmoja akanisogeza pembeni na kuniambia maneno ambayo sitasahau: “Bro, hujawahi kujiuliza kwanini kila ukijaribu biashara inakufa? Kuna watu wanasaidia kusafisha nyota yako ya biashara.
Unahitaji msaada wa kiroho.” Nilicheka kwa mara ya kwanza baada ya wiki nyingi, nikidhani ni mzaha. Lakini uso wa jamaa haukutoa kicheko hata kidogo. Alinipa namba ya kuwasiliana nayo akasema, “Jaribu, hautapoteza chochote.” Soma zaidi hapa


Post a Comment