Aliyekuwa nahodha wa klabu ya Simba Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr' amewaaga waajiri wake hao wa zamani ambao amewatumikia kwa miaka 11
Zimbwe Jr aliyetua nchini leo na kikosi cha Stars akitokea Misri ambako Stars iliweka kambi ya maandalizi ya CHAN 2024, amekamilisha taratibu za kujiunga na Yanga taarifa za ndani zikibainisha kuwa amesaini mkataba wa miaka miwili
Huna sababu ya kukosa kutazama michuano ya CHAN LIVE kupitia Simu yakoMichuano hii itaanza Agosti 02, kwa mechi ya ufunguzi kuchezwa katika dimba la Benjamin Mkapa kwa wenyeji Taifa Stars kucheza dhidi ya Burkina Faso.
Usikose kuitazama michuano hii LIVE bure kupitia simu yako download App hii mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi pia App bado hatujaiweka playstore hivo italeta neno This file might be harmful usiogope
Au hapa chini
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
AU BONYEZA HAPA PIA KUDOWNLOAD
Au hapa chini pia



Post a Comment