Ijue nguvu ya nyota katika kufanikiwa kibiashara

 


Kwa miaka mingi nilikuwa nawasikia watu wakisema kuwa ni muhimu kujua nyota yako ipo wapi hasa upande wa biashara ili kufanikiwa lakini sikuweza kutilia maanani kabisa. 

Kwa kifupi katika maisha yangu sikuwahi kuamini katika kitu kinaitwa nyota, niliamini sana katika bidii yangu na mtandao wa marafiki niliokuwa nao. Soma zaidi hapa. 


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post