Hata ukiumizwa sana, bado kuna nafasi ya kupata mume bora!

 


Jina langu Shamira kutokea Tanga Mjini, mimi ni mwanamke  mwenye umri wa miaka 34 nilikuwa kwenye mahusiano miaka mitano huko nyuma, imekuwa miaka miwili tangu uhusiano wangu wa miaka mitano kumalizika.  

Baada ya hapo tena nilimpata kijana anbaye kwa jina aliitwa Jonson ni kijana mstaarabu sana  nilianza nae mahusiano nikawa najisemea moyoni huyu ndiye atakaye kuwa mwanaume wa ndoto zangu. Soma zaidi hapa. 


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post