Kiungo Deborah Fernandez amewaaga mashabiki wa Simba baada ya kuwatumikia Wekundu hao wa Msimbazi kwa msimu mmoja
Fernandez anaondoka Simba baada ya kufikia makubaliano ya pande mbili kusitisha mkataba wake wa mwaka mmoja uliokuwa umebaki
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram, Deborah ameandika ujumbe wa shukrani na kuwaaga Wanamsimbazi
"Kuanzia mwanzo nikiwa mchezaji mchanga hadi nyakati za ushindi uwanjani, nilipata uzoefu wa kipekee uliyonijenga kama mtu na kama mchezaji wa mpira wa miguu"
"Nitayakosa mazoezi, mechi na nyakati nilizoshiriki na wachezaji wenzangu, lakini nina hamasa kwa ajili ya changamoto mpya zinazonisubiri"
"Shukrani kubwa kwa familia ya Simba kwa msaada wao katika kipindi chote nilichokuwa ndani ya klabu hii. Hakika nitakumbuka klabu hii, pamoja na mashabiki wote na viongozi wa Simba Sports Club Tanzania," aliandika Fernandez
Usikose kuitazama michuano hii LIVE bure kupitia simu yako download App hii mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi pia App bado hatujaiweka playstore hivo italeta neno This file might be harmful usiogope
Au hapa chini
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
AU BONYEZA HAPA PIA KUDOWNLOAD
Au hapa chini pia


Post a Comment