Naitwa Steve, baada ya miaka mingi za kukusanya fedha zangu kwenye akiba, niliamua kuingia katika biashara ili kuweza kupata kipato cha kila siku.
Hivyo niliamua kufungua duka la kuuza vipodozi na nilihakikisha duka hilo lina vipodozi vya kutosha kwa wateja wangu ambao wengi wao walikua ni wanawake, inavyojulikana wanawake hutumia asilimia kubwa ya fedha zao kwa kujipodoa. Soma zaidi hapa.

Post a Comment