Siku zote nilijua kuna jambo linalonivuruga moyoni kuhusu Hellen, msichana wa kazi niliyeajiri miezi miwili tu iliyopita. Alikuwa mdogo, mwenye sura ya kupendeza na tabia ya kupenda kujituma, lakini pia alikuwa na kawaida ya kuvaa mavazi ya kubana mno hata mbele ya mume wangu.
Niliwahi kumwambia abadilishe aina ya mavazi yake akiwa nyumbani, lakini kila aliposema “sawa mama,” kesho yake alikuwa yule yule. Nilikuwa nikijipa moyo kuwa labda ni ubaguzi wa kimtazamo wangu, au labda ni wivu tu wa kike usio na msingi. Kumbe sikuwa najidanganya. Soma zaidi hapa.

Post a Comment