Ally Kamwe Afunguka kuhusu Dube kutimka Yanga



Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe amekanusha tetesi zinazosambaa mitandaoni kuhusu mshambuliaji Prince Dube akisisitiza mshambuliaji huyo hajaomba kuondoka Yanga

Kamwe amekanunusha tetesi hizo zilizoanza kusambaa mapema Jumatano zikidai Dube anataka kuvunja mkataba wake kutokana na madai ya fedha za usajili

"Watu wanatafuta namna ya kutuzungumzia vibaya, ni taarifa za uzushi kwa asilimia 100.

Watuambie Dube amekwenda
kushitaki mamlaka zipi za mpira
ndani au nje?"

"Prince Dube ni mchezaji wa
Yanga mwenye mkataba wa
mwaka mmoja, hizo mnazosikia
ni stori ambazO watu
wanatengeneza kututia ubaya
baada ya kuona mambo yetu
yamenyooka"

"Mimi kama msemaji wa taasisi
na sauti ya Yanga siwezi
kuwadanganya Wananchi wakati
najua endapo Dube ataondoka
itakuwa aibu kwangu"

"Taarifa hizo ni uzushi kama
uzushi mwingine, masuala ya
malipo ya mchezaji yanafanyika
kwa mujibu wa makubaliano ya
kimkataba" alisema Kamvwe
Dube alijiunga na Yanga msimu
uliopita akitokea klabu ya Azam
Fc, ambapo alisaini mkataba wa
miaka miwili. Mkataba wake
utamalizika mwishoni mwa
msimu ujad

Huna sababu ya kukosa kutazama michuano ya CHAN LIVE kupitia Simu yako

Michuano hii itaanza Agosti 02, kwa mechi ya ufunguzi kuchezwa katika dimba la Benjamin Mkapa kwa wenyeji Taifa Stars kucheza dhidi ya Burkina Faso.

Usikose kuitazama michuano hii LIVE  bure kupitia simu yako  download App hii mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi pia App bado hatujaiweka playstore hivo italeta neno This file might be harmful usiogope

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post