Abubakar Nizar 'Ninju' Atambulishwa Yanga
Download App ya Nijuze Tv kutazama mechi za ligi kuu Nbc bure, Epl, Laliga, Bundesliga, Seria A, Caf na nyinginezo pia app hii ina chanel za Azam tv na Dstv utaweza kuzitazama bure
Idownload kwa kbonyeza HAPA sisi kwetu michezo ni Furaha
Klabu ya Yanga imetambulisha usajili wa beki kiraka, kinda Abubakar Nizar 'Ninju' kutoka klabu ya JKU ya Zanzibar
Baada ya kuonyesha kiwango kizuri katika michuano ya kombe la Muungano mapema mwaka huu ambayo Yanga iliibuka mabingwa kwa kuichapa JKU bao 1-0 katika mchezo wa fainali, Ninju aliwavutia mabosi Yanga (Rais na Makamu) ambao walikuwa uwanjani
Hatua za kukamilisha usajili wa kinda huyo ambaye alikuwa akicheza kwa mkopo JKU akitokea Azam Fc zikaanza mara moja
Hatimaye leo Yanga imethibitisha kumsajili beki huyo kiraka ambaye anaweza kucheza eneo lote la safu ya ulinzi na pia kumudu majukumu ya kiungo mkabaji
Usikose kuzitazama mechi hizi leo ARSENAL vs NEW CASTLE, TANZANIA vs SENEGAL na BARCELONA vs VISSEL KOBE LIVE bure kupitia Simu yako download App yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPA kudownload app
.jpeg)
Post a Comment