Yanga kukipiga na Rayon Sport ya Rwanda siku ya mechi ya Derby ya kariakoo

 

Klabu ya Yanga SC imepokea rasmi mwaliko kutoka kwa klabu ya Rayon Sports ya nchini Rwanda kwa ajili ya kucheza mechi ya kimataifa ya kirafiki.

Mchezo huo maalum unatarajiwa kuchezwa tarehe 15 Juni 2025 katika jiji la Kigali, Rwanda, na unalenga kuimarisha uhusiano wa kiushirikiano baina ya vilabu hivyo viwili vikubwa kutoka Afrika Mashariki.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya klabu ya Yanga, mchezo huo ni fursa ya kuimarisha uhusiano wa kisoka baina ya Tanzania na Rwanda kupitia vilabu hivi maarufu.

Hata hivyo, tarehe hiyo ya Juni 15 imezua gumzo miongoni mwa wadau wa soka, kwani ni siku ambayo Bodi ya Ligi (TPLB) ilitangaza kuwa itachezwa mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, namba 184, kati ya Yanga dhidi ya Simba SC, mchezo uliokuwa awali upigwe Machi 8, lakini haukufanyika baada ya Simba 'kuingia mitini'

Yanga ilitangaza msimamo wake wa kutocheza mchezo huo, wakipinga vikali jinsi TPLB ilivyohandle suala hilo, ikiwemo kuahirisha mechi kinyume na kanuni na kutotoa maelezo ya kina kuhusu sababu za kuahirishwa kwake.

Ingawa TPLB iliahidi kufanyika kwa uchunguzi juu ya tukio hilo, hadi sasa hakuna taarifa rasmi ya uchunguzi huo iliyotolewa.

Usikose kuitazama mechi hii ya   PYRAMIDS vs MAMELODI SUNDOWNS LIVE  bure kupitia simu yako  download App hii mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi pia App bado hatujaiweka playstore hivo italeta neno This file might be harmful usiogope

 Bonyeza hapa kudownload

Au hapa chini

Kudownload  Bonyeza hapa ili kudownload App

Au

AU BONYEZA HAPA PIA KUDOWNLOAD

Au hapa chini pia


App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)

  1. Wezesha “Unknown Sources” kwenye setting ya Simu yako. Nenda kwenye “Settings” > “Security” au “Privacy“.
Bonyeza Download anyway

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post