Jinsi nilivyopata vitu vyangu vya ndani na fedha Sh4.7milioni nilizoibiwa


Nilichanganyikiwa sana maana mali zangu nimezichuma kwa jasho jingi la kufanya kazi mtaani kwenye jua kali nikitembeza vitu kama Machinga, kibaya zaidi fedha walizoiba ndio nilikuwa nimetoka kuzichukua benki ukiwa ni mkopo ambao nilitaka nianze nao mwaka kwa kuongeza mtaji katika biashara yangu.

Jambo hilo lilinipa sana msongo wa mawazo, nilishinda ndani siku mbili bila kuweza kula vizuri maana sikuwa na hata pakulala, nilitoa taarifa Polisi na wakaanza kufanya uchunguzi wao.... SOMA ZAIDI HAPA. 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post