Huwa ni jambo la ovyo sana mtu anapopata ushawishi wa kuiba kitu cha mtu mwingine ambacho hakukifanyia kazi, tabia ya wizi ni tishio kwa maendeleo ya jamii na imepelekea watu wengi kuogopa hata kuwekeza kwenye biashara ndogondogo.
Katika kauti ya Busia genge la wezi watano lilionyeshwa cha mtema kuni baada ya kuiba Pikipiki, kulingana na walioshuhudia kisa hicho, genge hilo lilikuwa limesumbua wakazi wa eneo hilo kwa muda sana. Soma zaidi hapa.
Post a Comment