Ilikuwa ni siku ya Jumanne asubuhi katika Shule ya Msingi Kalangala, wilayani Sengerema, ambapo tukio lisilo la kawaida lilivuruga utaratibu wa masomo na kuacha walimu na wazazi wakishindwa kuamini kilichotokea. Mwanafunzi wa darasa la nne, mwenye umri wa miaka 9, alinaswa akiwa na hirizi ya ajabu iliyokuwa imefungwa kwenye leso na kufichwa kwenye begi lake la shule.
Tukio hilo lilikuja baada ya wanafunzi wenzake wawili kupoteza fahamu darasani ghafla, huku mmoja wao akianza kuzungumza kwa sauti ya mtu mzima na lugha isiyojulikana. Walimu waliharakisha kufunga darasa na kuwaita wazazi na viongozi wa kijiji. Soma zaidi hapa.
Post a Comment