Watu wengi husema kwamba nguvu za kishetani hazipo kabisa lakini hilo si kweli kwa maana mwanangu wa kiume alionyesha kuwa nguvu hizo zipo. Tuliishi na kijana wangu ambapo nilikuwa mama mjane hii ni baada ya mume wangu kufariki kutokana na ajali ya barabarani.
Maisha yalikuwa si shwari kabisa kwani kila mara aliniuliza alipokuwa Baba yake kwani marehemu mume wangu alifariki dunia wakati mtoto wetu wa pekee akiwa mchanga zaidi.... SOMA ZAIDI HAPA
Post a Comment