Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema Yanga haijalipwa fedha za ubingwa wa kombe la CRDB walilotwaa msimu uliopita
Akizungumza katika mkutano na wanahabari leo, Kamwe amesema wamemtaarifu Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidau kuwa kama hawatalipwa fedha hizo, hawatakuwa tayari kucheza mchezo wa fainali ya msimu huu dhidi ya Singida Black Stars ambao utapigwa Juni 28 visiwani Zanzibar
“Taarifa hii iwafikie ofisi ya Katibu Mkuu wa TFF na Wadhamini wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la CRDB, kuwa HATUTACHEZA mchezo wa Fainali wa CRDB siku ya tarehe 28, mpaka tutakapolipwa hela yetu ya Ubingwa kwa msimu uliopita. Tumevumilia dharau hizi kutoka kwa Mamlaka za Soka kwa muda mrefu sana, sasa imefika mwisho. Hii ya Zanzibar pia HATUCHEZI."
"Kama wanafikiri tunatania waendelee kupuuza, katika hili Klabu ya Yanga tuko serious zaidi ya wanavyodhani na tuko tayari kwa lolote litakalotokea. Na kama yuko mmoja wao anadhani kupunguza pointi ya Yanga ni rahisi, na ajaribu kufanya hivyo na asuburi aone NGUVU YA WANANCHI," alisema Kamwe
Usikose kuitazama mechi hii ya YANGA vs SIMBA LIVE bure kupitia simu yako download App hii mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi pia App bado hatujaiweka playstore hivo italeta neno This file might be harmful usiogope
Au hapa chini
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
AU BONYEZA HAPA PIA KUDOWNLOAD
Au hapa chini pia
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)
- Wezesha “Unknown Sources” kwenye setting ya Simu yako. Nenda kwenye “Settings” > “Security” au “Privacy“.
Post a Comment