Sheikh Amsomea Dua ya Kupoteza Akili Jamaa Aliyemchukua Mke Wake Siku ya Pili Apotea Msituni


 Niliamini maisha ya ndoa ni baraka. Nilimpenda mke wangu Halima kwa moyo wote. Tulifunga ndoa ya Kiislamu miaka mitano iliyopita na nikafanya kila niwezalo kuhakikisha anapata furaha. Lakini niliposhtukia amebeba mimba ya mtu mwingine ndugu yangu wa damu ndipo nilijua kuna majaribu mazito duniani.

Halima alianza kubadilika taratibu. Alipunguza mazungumzo nyumbani, hakupika tena, na alikua mkali kuliko kawaida. Nilidhani ni msongo wa kazi au uchovu wa ndoa, lakini kumbe kulikuwa na uhusiano wa siri unaoendelea. Nilipogundua ni ndugu yangu mwenyewe, niliishiwa nguvu. Soma zaidi hapa. 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post