Mpaka leo siamini kilichotokea. Nilikuwa nimepata tenda ya vifaa vya ujenzi kutoka halmashauri moja ya mkoa. Barua ya maelezo ya ushindi nilipewa kwa mkono na nilianza mchakato wa maandalizi.
Nilijua huu ndio ulikuwa mwaka wangu wa mabadiliko. Nilikuwa na mkopo wa benki uliosubiri kuhitimishwa mara tu malipo ya awali yatakapotolewa. Lakini siku moja, nilipokea simu isiyotarajiwa: “Samahani, kuna mabadiliko kwenye zabuni, kuna masuala ya kisheria yanayochunguzwa.” Nilishtuka. Soma zaidi hapa.
Post a Comment