Kila Mwanaume Niliyegusa Alifilisika Sikujua Laana ya Kizazi Ilikuwa Inapita Kupitia Mapenzi

 

Sijui nilianza kuichukia nafsi yangu lini, lakini ilianza taratibu. Mwanaume wa kwanza aliyenipenda kwa dhati alipoteza kazi wiki tatu baada ya tumeanza mahusiano. Nilihisi ni bahati mbaya.

Wa pili, mfanyabiashara aliyekuwa na maduka matatu ya vifaa vya umeme, alianza kupata hasara ya kushangaza miezi miwili tu baada ya kuninunulia simu ya bei ghali. Baada ya miezi minne, alifilisika kabisa. Soma zaidi hapa. 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post