Mtoto wangu Arian alizaliwa akiwa na afya njema, lakini baada ya miezi sita alianza kuonyesha hali ya kushangaza. Miguu yake haikuwa na nguvu kama watoto wengine.Miaka ilipita tatu na bado alikuwa hajatembea.
Tulidhani ni hatua ya kawaida ya kukua taratibu, lakini hadi alipofikisha mwaka mmoja hakuwahi kusimama, achilia mbali kutembea. Tulianza kuzunguka hospitali mbalimbali mkoani Mara na hata kufika Bugando, lakini hakuna daktari aliyetuambia tatizo halisi ni nini... SOMA ZAIDI HAPA
Post a Comment