Kwa muda wa miaka miwili, maisha yangu yalikuwa kama mateso ya adhabu isiyo na mwisho. Kila nilipofunga macho usiku, nilijikuta katika ndoto mbaya zinazofanana nilikuwa ninalazimishwa kimwili na viumbe visivyoonekana.
Nilihisi kama nimeshikwa, nimebanwa, na siwezi kupumua. Nilipoamka, nilikuwa na maumivu halisi mwilini, hasa kwenye mapaja na mgongo kana kwamba kile kilichotokea usingizini kilikuwa cha kweli kabisa. Hali hii ilinikosesha raha, nikaanza kuwa na woga wa kulala. Kila usiku ulipofika, nilijawa na hofu badala ya utulivu... SOMA ZAIDI HAPA
Post a Comment