Mwanafunzi Atoa Mimba Bweni na Kumtupia Mwalimu Wake, ‘Yeye Ndiye Aliniahidi Kunitunza’

 


Ilikuwa ni majira ya saa mbili asubuhi, nikiwa nimetoka darasani nikielekea bweni, niliposikia kelele zisizo za kawaida nje ya jengo la utawala. Wanafunzi walikuwa wamekusanyika, wengine wakilia, wengine wakipiga picha kwa simu, na walinzi wa chuo walikuwa wakizuia watu wasiingie sehemu ya tukio.

Sikujua kilichokuwa kikiendelea hadi nilipomuona msichana mmoja wa mwaka wa pili, Salma, akitolewa nje ya bweni akiwa hajitambui kabisa. Wenzake walikuwa wakimshika huku akitetemeka. Niliposogea karibu, nilisikia maneno yaliyotikisa moyo wangu: “Ametoa mimba na kusema hiyo ni mali ya mwalimu wake!” Soma zaidi hapa


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post