Kijana Ashtakiwa Kwa Kumroga Mamake Hadi Kufa Eti Ili Apate Utajiri Haraka


 Mahakama ya Wilaya ya Tanga ilikumbwa na simanzi na mshangao mkubwa wiki hii baada ya kijana mmoja mwenye umri wa miaka 24 kushtakiwa kwa tuhuma za kutumia uchawi kumuua mama yake mzazi kwa lengo la kutafuta utajiri wa haraka.

Kijana huyo, anayejulikana kwa jina la Kelvin, aliletwa kizimbani huku akiwa amefungwa pingu, na sura ya mashaka iliyojaa usoni. Soma zaidi hapa. 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post