Msanii Maarufu Asema Alikuwa Maiti kwa Dakika 11 Aeleza Alichokiona Kuzimu

 


Tanzania imepigwa na butwaa kufuatia kauli ya msanii maarufu wa muziki wa Bongo Fleva, Jay-M (jina lake halisi limehifadhiwa), aliyedai kuwa aliwahi kufariki kwa dakika 11 na kushuka kuzimu, ambako aliona mateso yasiyoelezeka, kabla ya kurejea duniani.

Katika mahojiano ya moja kwa moja kupitia kipindi maarufu cha Usiku wa Ukweli kilichorushwa Jumamosi iliyopita, Jay-M alisimulia tukio hilo kwa sauti ya utulivu na machozi yakimtoka. Soma zaidi hapa. 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post