Mbunge Aanza Kuchanganyikiwa Kila Anapopiga Hotuba, Wachambuzi Wadai Alipewa Kitu Ili Ashinde

 


Tukio la kushtua limezua taharuki kwenye siasa za jimbo la Mvuleni, mkoani Tanga, baada ya Mbunge mpya kuanza kupagawa kila mara anapopanda jukwaani kuhutubia wananchi.

Awali, ilionekana kama kichekesho lakini hali ilivyozidi kuwa ya kawaida, wasaidizi wake wakaanza kuficha kamera na kukatisha hotuba kabla watu wengi hawajashuhudia. Soma zaidi hapa. 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post