Mke wangu ananidharau kisa ndiye ananilipa mshahara!

 


Mimi niliacha kazi nikidhani kuwa kwa sababu yeye ndio ananilipa mshahara ndio maana ananidharau na kutembea na wanaume wengine mbele yangu pia nilihisi kwa kuwa yeye ndo Bosi basi anatumia nafasi hiyo kuninyanyasa kumbe bila kujua kuwa hapo ndo nimempatia nafasi nzuri zaidi kuliko mwanzo.

Walimu wenzangu walikuwa wanipigia simu kunijulia hali na wengine tunakutana mji wa Rwamishenye kubadilishana mawazo ila kila mmoja alikuwa ananambia kuwa mke wangu Upendo anachokifanya na Jamaa shuleni ni balaa!. Soma zaidi hapa. 


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post