Mama mkwe alinikejeli kisa nilikuwa tasa, sasa nina nyonyesha!

 


Ndoa hukumbwa na changamoto mbalimbali ambazo hutokea bila ya wanandoa kujua au kuwa kinyume na matarajio yao, katika mila na desturi za kiafrika kupata mtoto huwa ni ishara kwamba ndoa imekamilika.

Mtu anapokosa mtoto katika mila zetu huwa ishara kwamba hawezi kuheshimiwa kabisa kulingana na makabila mengi hapa Afrika. Soma zaidi hapa. 


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post