Jina langu ni Frida mkazi wa Tabata, Dar es Salaam, nafanya kazi ya Uasibu, nimefanya kazi hii kwa miaka 15, tangu niajiriwe katika kampuni yetu ambayo kila siku hupokea wateja wengi.
Kama mnavyofahamu, mimi ndiye hasa niliyekuwa nahusika na mambo yote ya fedha, kila mara watu mbalimbali walibisha hodi katika ofisi yangu, wakati wote nilikuwa bize sana na majukumu yangu.
Baadhi ya watu ambao walikuwa wanakuja ofisini haswa wanaume wengi wao walikuwa wanaomba kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mimi kutokana na muonekano wangu, wengi walikuwa wananiuliza kama nimeolewa, nilikuwa nacheka tu kisha naendelea na kazi zangu. Soma zaidi hapa.
Post a Comment