Duh! wezi wajikuta wakipeleka gari la wizi kituo cha Polisi


Kabla kisa cha kuibiwa gari kutokea, niliweza kushuhudia kisa hicho ndotoni, niliota kuwa majambazi wawili waliokua wamejihami kwa bunduki na vifaa vingine butu waliweza kunisimamisha barabarani na kudai kwamba walikuwa maafisa wa trafiki, kumbe yalikua madai ya uongo, waliweza kunifunga kwa pingu, na kunipokonya gari na kutoweka.

Ndoto hiyo iliweza kunipa kiwewe kila wakati nikiwa kwa shughuli zangu za uchukuzi kila wakati, niliweza kutilia maanani sheria za barabarani nisije nikasimamishwa na trafiki ambao nilidhania kuwa ni majambazi kila nyakati nilikumbana nao barabarani.... SOMA ZAIDI HAPA 


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post