Alikuwa Tajiri Lakini Hakuwahi Kuweka Akiba—Kumbe Kipato Chake Kilikuwa Kinavamiwa Kiroho


Nilianza biashara yangu ya bidhaa za jumla nikiwa na mtaji mdogo sana wa mkopo. Ndani ya mwaka mmoja tu, biashara ililipuka kwa mafanikio.

Niliingiza pesa nyingi kuliko nilivyowahi kuwaza, na kila mtu alianza kuniita tajiri. Nilimiliki magari mawili, nilihamia nyumba ya kifahari na familia yangu ikaanza kuishi kama wafalme. Kwa nje nilionekana kama mtu aliyefanikisha ndoto zake, lakini ndani ya moyo wangu nilihisi kitu hakikuwa sawa. Soma zaidi hapa. 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post